Mitandao yote inatumia Namba ya Kampuni (Business Number) 888999 na Reference inayoanza na SASXXXXXXXXXXX.
Vodacom M-Pesa
- Dial *150*00#, kisha chagua option 4 [Lipa kwa M-Pesa].
- Chagua option 4 [Weka namba ya kampuni / Enter Business Number].
- Ingiza Namba ya Kampuni: 888999.
- Ingiza Kumbukumbu ya Malipo (Reference Number): Jaza Namba ya Malipo inayoanza na SASXXXXXXXXXXX.
- Weka kiasi: TZS 20,000/= kisha weka siri (PIN) ya M-Pesa na uthibitishe malipo.
Tigo Pesa
- Dial *150*01#, kisha chagua option 4 [Lipia Bili / Pay Bills].
- Chagua option 3 [Ingiza Namba ya Kampuni / Enter Business Number].
- Ingiza Namba ya Kampuni: 888999.
- Ingiza Kumbukumbu ya Malipo (Reference Number): Jaza Namba ya Malipo inayoanza na SASXXXXXXXXXXX.
- Ingiza kiasi cha malipo: TZS 20,000/=, weka PIN ya Tigo Pesa na uthibitishe malipo.
Airtel Money
- Dial *150*60#, kisha chagua option 5 [Lipia Bili / Pay Bills].
- Chagua option 4 [Ingiza Namba ya Kampuni / Enter Business Number].
- Ingiza Namba ya Kampuni: 888999.
- Ingiza Kumbukumbu ya Malipo (Reference Number): Jaza Namba ya Malipo inayoanza na SASXXXXXXXXXXX.
- Ingiza kiasi cha malipo: TZS 20,000/=, weka PIN ya Airtel Money na uthibitishe malipo.